Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
mkewe Janeth Magufuli, Mama Marry Majaliwa (Mke wa Waziri mkuu Mhe. Kassim
Majaliwa) pamoja na Waumini wengine wa Kanisa Katoliki wakishiriki Misa
Takatifu Dominika ya 22 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu
Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam. Ibada iliyoongozwa na Paroko
Msaidizi Padre Dkt. Alista Makubi, Septemba 01,2019. PICHA NA IKULU
Picha namba 3 & 4. Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akisali katika Misa Takatifu Dominika ya
22 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya
Oysterbay jijini Dar es Salaam. Ibada iliyoongozwa na Paroko Msaidizi Padre
Dkt. Alista Makubi, Septemba 01,2019.
No comments:
Post a Comment