Wachezaji wa Simba wakishangilia bao la pili lililofungwa
na mshambuliaji wa timu hiyo, Miraji Athuman, katika mchezo wa Ligi Kuu
Tanzania Bara dhidi ya Mtibwa Sugar uliofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru
jijini Dar es Salaam. Simba ilishinda 2-1. (Picha zote na Said Powa).
Nyota wa kimataifa wa Brazil, Gerson Fraga Vieira anayechezea Simba akimpongeza Meddie Kagere baada ya kufunga bao la kwanza katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya timu hiyo na Mtibwa Sugar.
Wachezaji wa Simba wakipongezana.
No comments:
Post a Comment