Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
amesimama kwenye msari na mke wake Mama Janeth Magufuli pamoja na wananchi
wengine wakati wakielekea kujiandikisha katika daftari la Wapiga Kura kwa ajili
ya uchaguzi wa Serikali za Mtaa katika Kitongoji cha Sokoine Chamwino mkoani
Dodoma leo tarehe 12/10/2019. (Picha na Ikulu).
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
amesimama kwenye msari na mke wake Mama Janeth Magufuli pamoja na wananchi
wengine wakati wakielekea kujiandikisha katika daftari la Wapiga Kura.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akijiandikisha katika daftari la Wapiga Kura kwa ajili
ya uchaguzi wa Serikali za Mtaa katika Kitongoji cha Sokoine Chamwino
mkoani Dodoma leo tarehe 12/10/2019. Kulia aliyekaa ni Afisa Uchaguzi
kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino Mary Joseph Mwambongo.
No comments:
Post a Comment