HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 24, 2020

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA MJUMBE MAALUMU WA KANSELA WA UJERUMANI NA PROFESA PLO LUMUMBA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mwakilishi wa Kansela wa Ujerumani anayeshughulikia masuala ya Afrika Bw. Guenter Nooke, alipokutana na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es Salaam leo Jumatatu February 24, 2020.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na Mwakilishi wa Kansela wa Ujerumani anayeshughulikia masuala ya Afrika Bw. Guenter Nooke na ujumbe wake alipokutana na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es Salaam leo Jumatatu February 24. 2020.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpatia zawadi ya kinyago cha Umoja Mwakilishi wa Kansela wa Ujerumani anayeshughulikia masuala ya Afrika Bw. Guenter Nooke alipokutana na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es Salaam leo Jumatatu February 24.  2020.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Msomi na Mwanamajumui (Pan-Africanist) wa Muunganiko wa Afrika kutoka Kenya, Profesa Patrick Loch Otieno Lumumba ( Maarufu zaidi kama Profesa PLO Lumumba) alipokutana na kufanya naye mazungumzo  Ikulu jijini Dar es Salaam leo Jumatatu February 24.  2020. Kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Madini Profesa Simon Msanjila.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Msomi na Mwanamajumui
(Pan-Africanist) wa Muunganiko wa Afrika kutoka Kenya Profesa Patrick Loch Otieno Lumumba ( Maarufu zaidi kama Profesa PLO Lumumba) baada ya kukutana na kufanya naye mazungumzo  Ikulu jijini Dar es Salaam leo Jumatatu February 24.  2020.  PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

Pages