HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

March 03, 2020

MBUNGE MWINGINE WA JIMBO LA OLE KWA TIKETI YA CUF AOMBA KUJIUNGA NA CCM

Akiwa katika Mkutano Mkuu wa CCM wa Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba Zanzibar Ndugu Humphrey Polepole amepokea maombi ya kujiunga na CCM ya Mbunge mwingine wa CUF Ndugu Juma Hamad Omari Mbunge wa Jimbo la Ole.

Akizungumza baada ya kupokelewa na Ndugu Polepole Mbunge wa Jimbo la Ole  alikuwa na haya ya kusema.

Ndugu Polepole ametumia Mkutano huo kukemea tabia ya baadhi ya Vyama vya siasa kuhubiri ubaguzi kitu ambacho ni hatare kwa ustawi wa Kijamii.

Huu ni muendelezo wa kazi za Chama ndani ya Chama kwa lengo la kuimarisha Chama na utendaji wa Serikali.

Imetolewa na,
IDARA YA ITIKADI NA UENEZI
CHAMA CHA MAPINDUZI.

No comments:

Post a Comment

Pages