|
Mkuu wa Wilaya ya Hanang, Bw.
Joseph Mkirikiti akisikiliza maelekezo ya Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe.
Elias Kwandikwa alipokagua matengenezo ya barabara za Genandu-Babati km
105 na Mogitu-Haydom km 68.
|
Meneja wa Wakala wa Barabara
Mkoa wa Manyara, Mhandisi Bashiru Rwesingisa (kushoto) akifafanua jambo
kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Elias Kwandikwa alipokagua matengenezo
ya barabara za Gehandu- Babati Km 105 na
Mogitu-Haydom Km 68 ambazo ukarabati wake unaendelea kufuatia mvua
zinazoendelea kunyesha mkoani Manyara.
|
Meneja wa Wakala wa Barabara
Mkoa wa Manyara, Mhandisi Bashiru Rwesingisa (mwenye koti jeusi) akitoa
maelezo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Elias Kwandikwa
alipokagua matengenezo ya barabara za Gehandu- Babati Km
105 na Mogitu-Haydom Km 68 ambazo ukarabati wake unaendelea kufuatia
mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Manyara.
|
Muonekano wa Bwawa la Dawari
lililosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha wilayani Hanang,
bwawa hilo lipo katika barabara ya Mogitu-Haydom Km 68 mkoani Manyara.
|
|
No comments:
Post a Comment