HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 25, 2020

Ujumbe wa Timu ya Pamba wamtembelea Waziri Dkt. Mwakyembe jijini Dodoma

 
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akizungumza na ugeni wa timu ya Pamba ya jijini Mwanza walipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dodoma. Wa pili kushoto ni Mbunge wa Nyamagana jijini humo Stanslaus Mabula, Mwenyekiti wa timu hiyo Aleem Alibah (wa pili kulia) na Afisa Habari wa timu hiyo Abdalah Hassan Chauss (kushoto). (Picha na Eleuteri Mangi-WHUSM, Dodoma)
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akipokea Jezi ya Timu ya Pamba ya jijini Mwanza kutoka kwa Mwenyekiti wa timu hiyo inayoshiriki ligi ya daraja la kwanza kundi B Aleem Alibah (kushoto) walipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dodoma. Kushoto ni Mbunge wa Nyamagana jijini Mwanza Stanslaus Mabula.
 
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto), akipokea jezi ya timu ya Pamba ya jijini Mwanza kutoka kwa Mbunge wa Nyamagana jijini Mwanza Stanslaus Mabula.

No comments:

Post a Comment

Pages