Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya
pamoja na Spika wa Baraza la Wawakilishi, Zubeir Ali Maulid (kulia) na
Katibu wa Baraza la Wawakilishi, Raya Issa Musellem wakati alipowasili
kwenye ukumbi wa Baraza la Wakilishi kushiriki katika tukio la kuvunjwa
kwa Baraza hilo kulikofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi, Dkt, Ali Mohammed Shein, Juni 20, 2020. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu).
Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein akizungumza na Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa baada ya kuvunja Baraza la Wawakilishi kwenye ukumbi wa
Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Juni 20, 2020. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi (wa pili kushoto wakizungumza na Spika wa baraza la Wawakilishi, Mhe. Zubeir Ali Maulid (kulia) baada ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohammed Shein kuvunja Baraza la Wawakilishi kwenye ukumbi wa Baraza hilo Juni 20, 2020. Wa pili kulia ni Katibu wa Baraza la Wawakilishi, Raya Issa Msellem. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment