Mkurugenzi wa Kitengo
cha Maadhimisho na Sherehe za Taifa Bw.Mohamed Kiganja akipokea moja ya saa
zilizotolewa na Benki ya NMB Dodoma, aliyekabidhi vifaa hivyo ni Meneja wa
Kanda wa benki hiyo Bw. Nsolo Mlozi ikiwa ni sehemu ya kuonesha ushirikiano
kati ya banki hiyo na Ofisi ya Waziri Mkuu ambapo walikabidhi saa 200, peni 200
na Vikombe 200 Juni 19, 2002 Jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa Kitengo
cha Maadhimisho na Sherehe za Taifa
Ofisi ya Waziri Mkuu Bw.Mohamed Kiganja akipokea moja ya saa
zilizokabidhiwa na Meneja wa Kanda wa Banki ya NMB Bw. Nsolo Mlozi ambapo
walikabidhi saa 200, peni 200 na Vikombe 200 Juni 19, 2002 Dodoma.
Mkurugenzi wa Kitengo
cha Maadhimisho na Sherehe za Taifa Bw.Mohamed Kiganja akipokea moja ya saa
zilizokabidhiwa na Meneja wa Kanda wa Banki ya NMB Bw. Nsolo Mlozi ikiwa ni
sehemu ya kuonesha ushirikiano kati ya banki hiyo na Ofisi ya Waziri Mkuu
ambapo walikabidhi saa 200, peni 200 na Vikombe 200 Juni 19, 2002.
Meneja wa Kanda wa
Banki ya NMB Bw. Nsolo Mlozi akizungumza wakati wa kukabidhi vifaa hivyo.
Mkurugenzi wa Kitengo
cha Maadhimisho na Sherehe za Taifa Ofisi ya Waziri Mkuu Bw.Mohamed Kiganja akitoa
neno la shukrani kwa Meneja wa Kanda wa Banki ya NMB Bw. Nsolo Mlozi mara baada
ya kupokea vifaa kwa ajili ya Ofisi.
No comments:
Post a Comment