HABARI MSETO (HEADER)

Breaking

September 28, 2020

MGOMBEA CHADEMA ATOA AHADI YA KUREKEBISHA SHERIA ZINAZONYIMA UHURU WA HABARI

Mgombea Mwenza wa kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalimu, akimnadi kwa wananchi mgombea udiwani Kata ya Chitema jimbo la Mpwawa mkoani Dodoma. Mgombea huyo alisema kuwa Serikali ya Chadema chini ya Rais Lissu itatenda haki na kuondoa na kuzirekebisha sheria zote zinazonyima uhuru wa habari na kujieleza ili waandishi wa habari na wananchi wawe huru kuisema serikali na kutoa mawazo yao.

Mgombea Mwenza wa kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalimu, akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Chitema jimbo la Mpwawa mkoani Dodoma.
Wakazi wa Kijiji cha Chitema jimbo la Mpwapwa mkoani Dodoma wakimsikiliza mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalimu, wakati akihutibia katika jimbo la Mpwapwa.

Gerva Lyenda ambaye ni Katibu wa mgombea wa Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mgombea Mwenza wa kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalimu, akimnadi kwa wananchi mgombea udiwani Kata ya Berege jimbo la Mpwawa mkoani Dodoma, Mahinyila Deogratias.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Mhe. Salum Mwalimu, akizungumza na wakati wa Kijiji cha Berege jimbo la Mpwapwa mkoani Dodoma Septemba 27, 2020.

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalimu, akiwa amembeba mtoto Priskus mara baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Mpwapwa mkoani Dodoma Septemba 27, 2020.

No comments:

Post a Comment

Pages