HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 28, 2020

MGOMBEA MWENZA CHADEMA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI JIMBO LA MALINYI MKOANI MOROGORO


Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalimu, akiwasalimia wakazi wa Kata ya Itete jimbo la Malinyi mkoani Morogoro leo Septemba 28, 2020.
Wananchi waliosimamisha msafara wa mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalimu, wakimsikiliza mgombea huyo katika Kata ya Itete jimbo la Malinyi mkoani Morogoro.

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Mhe. Salum Mwalimu, akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika katika Uwanja wa Toboatobo jimbo la Malinyi mkoani Morogoro leo Septemba 28, 202.

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Mhe. Salum Mwalimu, akiwa amepozi kwa picha na Bibi Anselimina Luambano kabla ya kuhutubia mkutano wa kampeni uliofanyika katika Uwanja wa Toboatobo jimbo la Malinyi mkoani Morogoro leo Septemba 28, 2020. Kushoto ni mgombea ubunge wa jimbo la Malinyi kupitia chama hicho, Imelda Malley.

No comments:

Post a Comment

Pages