Mgombea
Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalimu, akiwasalimia wakazi wa Ndanda waliosimamisha msafara wake leo Oktoba 6, 2020 wakati akielekea Masasi mkoani Lindi.
Mgombea
Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalimu, akiwaaga wakazi wa Ndanda waliosimamisha msafara wake leo Oktoba 6, 2020 wakati akielekea Masasi mkoani Lindi.
Mgombea
ubunge jimbo la Mtwara Vijijini, Idrisa Mtuma, akizungumza kwenye
mkutano wa kampeni uliofanyika katika kijiji cha Msimbati mkoani Mtwara
leo Oktoba 6, 2020.Mgombea
Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalimu, akiwanadi wagombea udiwani jimbo la
Mtwara Vijijini.
Mgombea Mwenza
wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia
CHADEMA Mhe. Salum Mwalimu, akiwa katika picha ya kumbukumbu na viongozi wa CHADEMA Kijiji cha Msambiati Mtwara
Vijijini.
Mgombea Mwenza
wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia
CHADEMA Mhe. Salum Mwalimu, akiwa katika picha ya kumbukumbu na viongozi wa CHADEMA katika Kijiji cha Msambiati Mtwara
Vijijini.
Mgombea Mwenza
wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia
CHADEMA Mhe. Salum Mwalimu, akipiga makofi baada ya kufungua tawi la CHADEMA katika Kijiji cha Msambiati Mtwara
Vijijini.
Baadhi ya viongozi wa CHADEMA wakiwa katika mkutano wa kampeni jimbo la Mtwara Mjini.
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kusini, Suleiman Mathew, akizungumza jambo na mgombea ubunge jimbo la Mtwara Vijijini, Idrisa Mtuma.
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kusini, Suleiman Mathew, akizungumza jambo na mgombea ubunge jimbo la Mtwara Vijijini, Idrisa Mtuma.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalimu, aakihutubia mkutano wa kampeni jimbo la Mtwara Mjini.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalimu, akimnadi mgombea ubunge jimbo la Mtwara Mjini, Tunza Malapo.
No comments:
Post a Comment