HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 14, 2021

GAZETI LA TANZANIA DAIMA LAFANYA MAZUNGUMZO NA BASHUNGWA DODOMA

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa (kulia), akiwa katika mazungumzo na Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa gazeti Tanzania Daima, Gerva Lyenda (kushoto) Aprili 13, 2021 Dodoma. Katika mazungumzo hayo Lyenda aliiomba serikali kurejeshewa leseni ya uchapishaji wa gazeti la Tanzania Daima ambayo ilifutwa Juni 24, 2020.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa (katikati)  akiwa katika picha ya pamoja baada ya mazungumzo hayo.

No comments:

Post a Comment

Pages