HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 17, 2021

MATUKIO KATIKA PICHA JIJINI DODOMA

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Selemani Jafo, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara. Mazungumzo hayo yalifanyika jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Selemani Jafo, (katikati), akipiga picha ya pamoja na wakurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo baada ya kumaliza kuzungumza na wanahabari. Kushoto ni Zamaradi Kawawa na Jonas Kamaleki.
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Deogratius Ndejembi, akimkabidhi Mkurugenzi wa Masoko wa PSSSF James Mlowe, Tuzo Maalum kwa ajili ya kuthamini udhamini wa Mashindano ya CRDB Bank Basket Taifa Cup yaliyofikia kilele jijini Dododo juzi usiku.

No comments:

Post a Comment

Pages