Wanariadha wa timu ya Bunge, wakijifua katika mazoezi yaliyoanza jijini Dodoma leo kwa ajili ya maandalizi ya mashindano ya timu za Bunge za Afrika Mashariki yanayotalajiwa kufanyika jijini Arusha mwanzoni mwa mwezi ujao. Picha na Deus Mhagale.
Timu ya kunyanyau vitu vizito ya Bunge ikijifua.
Wachezaji wa timu ya mpira wa miguu wakiwa mazoezini.
Wachezaji wa mpira wa Kikapu wakiongozwa na Mbunge Stanslaus Nyongo (kushoto) wakiwa mazoezini.
Wachezaji wa timu ya Volleyball, wakipongezana baada ya kuwafunga wenzao.
Kiongozi wa timu ya Bunge Stanslaus Mabula, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maadalizi ya timu za bunge katika mashindano hayo.
No comments:
Post a Comment