HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

January 20, 2022

Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Maalum cha Kamati Kuu

  

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika leo tarehe 20 Januari, 2022 katika ukumbi wa Halmashauri Kuu CCM White House Jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment

Pages