HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 13, 2022

SIMBA YAANZA KWA KISHINDO MAKUNDI CAFCC, YAIKANDAMIZA ASEC MIMOSAS

 Kiungo wa Simba, Pape Ousmane Sakho, akiifungia timu yake bao katika mchezo wa Kombe la Shirikisho CAFCC dhidi ya Asec Mimosas uliofanyika kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam Februari 13, 2022. Simba ilishinda 3-1.

No comments:

Post a Comment

Pages