HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 07, 2023

ONYANGO ATUA SINGIDA FOUNTAIN GATE FC

Na John Marwa

Klabu ya Singida Fountain Gate imekamilisha usajili wa beki Joash Onyango raia wa Kenya kutoka klabu ya Simba SC.

Onyango mwenye umri wa miaka 30 amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu ya Singida Fountain Gate FC.

Onyango anaungana na Pascal Wawa na kuiongoza klabu hiyo katika michezo ya Ligi Kuu Soka Tanzania Bara NBC PL, Azam Sports Federation Cup na Kombe la Shirikisho Barani Afrika CAF CC.



No comments:

Post a Comment

Pages