HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 07, 2023

SIMBA SC YAPANDA UBORA AFRIKA


Na Mwandishi Wetu 


Klabu ya Simba imepanda viwango vya ubora wa CAF kutoka nafasi ya 9 hadi nafasi ya 7 kwa mujibu wa viwango vilivyotangazwa leo na Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF)



Hii maanaake ni kuwa msimu ujao katika upangaji wa makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL),  Simba itawekwa kwenye Port namba 2 ambayo inahusisha timu kuanzia nafasi ya tano mpaka ya nane.


"Port A itakua na Al Ahly, Mamelod Wydad na Esparance. Port 2 ndo tutakua Simba na wakubwa wenzetu watatu.


"Brand yetu inazidi kupaaa na Malengo yetu ni kuingia kwenye Port ya kwanza siku chache zijazo" Ahmed Ally  msemaji wa Simba SC


No comments:

Post a Comment

Pages