HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 22, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Singida azindua zoezi la utoaji wa chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Victorina Ludovick akimchoma sindano ya chanjo mwanafunzi wa Shule ya Msingi Kisaki.

Wanafunzi kutoka Shule mbalimbali waliohudhuria zoezi la utoaji wa chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi katika kijiji cha kisaki.

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Singida Victorina Ludovick akisoma taarifa ya utoaji wa chanjo katika mkoa wa Singida.
Mkuu wa Mkoa wa Singida, Halima Dendego akizungumza kwenye uzinduzi wa zoezi la utoaji wa chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi

Wanawake waliopata chanjo ya Saratani ya mlango wa kizazi Mkoani Singida wakiwa na watoto wao.

No comments:

Post a Comment

Pages