Mwenyekiti
Wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe.Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele,
akizungumza wakati akifungua mkutano wa siku moja wa Tume na Wadau wa Uchaguzi
uliofanyika leo Agosti 25, 2024 mkoani Mara. Wadau hao ni pamoja na Viongozi wa vyama vya siasa,
Viongozi wa Dini, Wawakilishi wa Asasi za Kiraia, Wahariri wa Vyombo vya
habari, Waandishi wa habari, Maafisa Habari wa Mikoa na Halmashauri, Wawakilishi
wa Makundi mbalimbali ya Vijana, Watu wenye ulemavu, Wanawake na Wazee wa
Kimila.
Sehemu ya washiriki wa mkutano wa siku moja wa Tume
na Wadau wa Uchaguzi uliofanyika leo Agosti 25, 2024 mkoani Mara. Wadau hao ni
pamoja na Viongozi wa vyama vya siasa, Viongozi wa Dini, Wawakilishi wa Asasi
za Kiraia, Wahariri wa Vyombo vya habari, Waandishi wa habari, Maafisa Habari
wa Mikoa na Halmashauri, Wawakilishi wa Makundi mbalimbali ya Vijana, Watu
wenye ulemavu, Wanawake na Wazee wa Kimila. Sehemu ya washiriki wa mkutano wa siku moja wa Tume na Wadau wa Uchaguzi uliofanyika leo Agosti 25, 2024 mkoani Mara. Wadau hao ni pamoja na Viongozi wa vyama vya siasa, Viongozi wa Dini, Wawakilishi wa Asasi za Kiraia, Wahariri wa Vyombo vya habari, Waandishi wa habari, Maafisa Habari wa Mikoa na Halmashauri, Wawakilishi wa Makundi mbalimbali ya Vijana, Watu wenye ulemavu, Wanawake na Wazee wa Kimila.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Kailima Ramadhani akizungumza wakati akiwasisha mada ya maandalizi ya uboreshaji kwa wadau wa uchaguzi Mkoa wa Mara.
Mkurugenzi wa Daftari na TEHAMA wa Tume Huru ya
Taifa ya Uchaguzi, Stanslaus Mwita akiwasilisha mada ya mifumo wakati wa
mkutano wa siku moja wa Tume na Wadau wa Uchaguzi uliofanyika leo Agosti 25,
2024 mkoani Mara.Mwenyekiti Wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
(INEC), Mhe.Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele, akiteta jambo na Mkurugenzi wa
Uchaguzi wa Tume, Bw. Kailima Ramadhani wakati wa mkutano wa siku moja wa Tume
na Wadau wa Uchaguzi uliofanyika leo Agosti 25, 2024 mkoani Mara.
Wadau wakishiriki katika majadiliano.
Mwenyekiti Wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe.Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele akiongoza majadiliano.
Wadau wa uchaguzi wakiwa katika majadiliano.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Bw. Kailima Ramadhani akijibu hoja mbalimbali wakati wa mkutano wa siku moja wa Tume na Wadau wa Uchaguzi uliofanyika leo Agosti 25, 2024 mkoani Mara.***************
Na. Waandishi wetu, MaraTume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imeviasa vyama vya siasa kutoingilia mchakato wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika vituo vya kuandikishia wapiga kura.
Naye Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama Kuu, Mhe. Asina Omari, ambaye alifungua mkutano wa wadau wa uchaguzi mkoani Manyara, amewahimiza watu wenye ulemavu, wazee, wagonjwa, wajawazito, na akina mama wenye watoto wachanga watakaokwenda nao vituoni kujitokeza kwa wingi kwa kuwa watapewa fursa ya kuhudumiwa bila kupanga foleni.
No comments:
Post a Comment