HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 15, 2013

Mkutano wa Tatu wa Wadau wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF)

Waziri wa Kazi na Ajira, Gaundencia Kabaka (kulia) akisalimiana na Kaimu Mkuu wa Idara ya Wateja Wakubwa na Uwekezaji wa Benki ya NBC, Minnie Adolf Kibuta katika hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na benki hiyo kwa washiriki wa mkutano wa tatu wa Wadau wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha juzi. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya NSSF, Aboubakar Rajab.

No comments:

Post a Comment

Pages