HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 11, 2013

TANZANIA MUSIC POWER ENTERTAINMENT YAZINZUA TUZO ZA WAPENDANAO

 Mkurugenzi wa Kampuni ya Tanzania Music Power Entertainment, Phabian Duwe akifafanua jambo wakati wa kutangaza tuzo za wapendanao zitakazofanyika Februari 14 kwenye Hoteli ya Demag iliyopo  Mwananyamala jijini Dar es  Salaam. Katikati ni Meneja wa TMPE, Evelyn Munisi na Ludovick Mugasha. (Picha zote na Dande JR)
Mwanamuzi, Rogers Lucas ambaye atatoa burudani katika utoaji wa tuzo za Wapendanao akionesha umahiri wake wa kupiga gitaa wakati wa kutangaza tuzo kwa wapendanao zilizoandaliwa na Kampuni ya Tanzania Music Power Entertainment ya jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Phabian Duwe na Meneja wa TMPE, Evelyn Munisi. 

No comments:

Post a Comment

Pages