HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 15, 2013

CHADEMA WAFANYA MAANDAMANO YA AMANI KUELEKEA OFISI YA MKURUGENZI WA JIJI LA ARUSHA

 Wafuasi wa Chadema wakiandamana kuelekea katika ofisi za Mkurugenzi wa Jiji la Arusha kwenda kumpongeza kwa kusimamia vizuri uchaguzi wa Madiwani. (Picha zote na  Picha na Ferdinand Shayo)
 Wafuasi wa CHADEMA wakishangilia ushindi katika maandamano ya amani ya madiwani wapya na viongozi kwenda kumpongeza Mkurugenzi wa jiji kwa kusimamia uchaguzi vizuri.
 Lema akiwa na madiwani wapya wakiingia katika jingo la Halmashauri kuonana na Mkurugenzi wa jiji 
OCD wa Arusha Gilles Mulloto akimisihi Mbunge wa Arusha awatawanye wafuasi wa chama hicho waliokuwa wamekusanyika nje ya jingo la Halmashauri wakiwasubiri viongozi wao waliokuwa wamekwenda kuonana na Mkurugenzi wa jiji kumpongeza kwa kusimamia vizuri uchaguzi wa jana,wafuasi hao na viongozi hao walifanya maandamano ya amani  jana. Picha na Ferdinand Shayo
 Madiwani  wapya waliochaguliwa jana na wabunge wa CHADEMA wakibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa jiji la Arusha Sipora Liana   jana walipofika ofisini kwake kumpongeza kwa kusimamia vizuri uchaguzi madiwani.

No comments:

Post a Comment

Pages