HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 30, 2014

MFUKO WA PENSHENI WA PSPF WATOA ELIMU KWA MAAFISA WA WIZARA NA IDARA ZA SERKALI MJINI BAGAMOYO

 Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akizungumza kwenye semina ya siku moja iliyoandaliwa na Mfuko huo ili kuwaelimisha wakurugenzi na Maafisa Waandamizi kutoka Wizara na Idara za Serikali na kufanyika Bagamoyo mkoani Pwani.
 Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani, Ahmed Kipozi, akifunga semina ya siku moja ya wakurugenzi na maafisa kutoka wizara na idara za serikali iliyoandaliwa na Mfuko wa Pensheni wa PSPF, ili kuwaelimisha viongozi wanaoshughulikia maslahi ya watumishi na akiba zao za baadaye (Mafao), wanapostaafu. Semina hiyo ilifanyika Bagamoyo Ijumaa.
 Mkuu wa wilkaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, Ahmed Kipozi, akipokea ratiba kutoka kwa Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Constantina Martin, huku Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huo Adam Mayingu akishudia. Kipozi alialikwa kufunga  semina ya sku moja iliyoandaliwa na Mfuko huo, kwa wakurugenzi na maafisa waandamizi wa wizara na idara za serikali na kufanyika Bagamoyo 
Mmoja wa washiriki wa semina hiyo akiulkiza swali.

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Utumishi, George Yambesi, akifungua semina ya siku moja ya wakurugenzi na maafisa waandamizi kutoka wizara na idara za serikali ambayo iliandaliwa na Mfuko wa Penshenbi wa PSPF, kutoa elimu kwa wadau hao wakuu.

No comments:

Post a Comment

Pages