HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 15, 2014

MAGHEMBE CUP 2014 YAZINDULIWA

Nahodha wa Mwanga kombaini, Kalasingh Mkumbo akipokea jezi kutoka kwa Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe wakati wa hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya Cleopa Msuya mjini Mwanga, mkoani Kilimanjaro. (Picha na Jabir Johnson)
Nahodha wa Lang’ata FC, Francis Christopher akipokea mpira kutoka kwa Waziri wa Maji Profesa Jumanne Abdallah Maghembe katika viwanja vya Cleopa Msuya mjini Mwanga, mkoani Kilimanjaro.

No comments:

Post a Comment

Pages