HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

March 21, 2015

YANGA YAIPIGA VIRUGU VIWILI TIMU YA MGAMBO SHOOTING

Mshambuliaji wa Yanga Kph Sherman (kuliao), akitafuta mbinu za kumtoka kiungo wa Mgambo Shooting, Novaty Lufunga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Mkwakwani Tanga.
Wachezaji wa timu ya Yanga na Wachezaji wa Mgambo Shooting wakizozana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliyochezwa kwenye Uwanja wa Mkwakwani Tanga. (picha na Elizabeth Kilindi)
Simon Msuva akiwania mpira huku akizongwa na wachezaji wa Mgambo FC.

No comments:

Post a Comment

Pages