HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 13, 2015

ACT-WAZALENDO WAFANYA MKUTANO MORO

 Viongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo wakicheza wimbo wa chama hicho, kwenye eneo la Uwanja wa Ndege mjini humo kabla kiongozi wa chama hicho, Zitto Kabwe ajaanza kuhutubia. (Picha na Said Powa)
Kiongozi wa chama hicho akiwahutubia wananchi.
 Wakazi wa Mji wa Morogoro wakigombea kununua kadi za chama cha ACT -Wazalendo kwenye eneo la Uwanja wa ndege mjini Morogoro.
Wakazi wa Mji wa Morogoro wakigombea kununua kadi za chama cha ACT-Wazalendo kwenye eneo la Uwanja wa Ndege mjini Morogoro.

No comments:

Post a Comment

Pages