HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 26, 2015

YANGA YAIFUNGA KHARTOUM YA SUDAN 1-0

Mshambuliaji wa Yanga, Amisi Tambwe akishangilia kwa staili ya aina yake baada ya kuifungia timu yake bao pekee katika mchezo wa Kombe la Kagame dhidi ya Khartoum ya Sudan uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Kushoto ni  mshambuliaji wa timu hiyo, Malimi Busungu. (Picha na Francis Dande)
 Msuva akimiliki mpira.
 Malimi Busungu akichuana na beki wa Khartoum ya Sudan.
 Golikipa wa Khartoum ya Sudan, Mohamed Ibrahimakiokoa moja ya hatari langoni mwake.
 Simon Msuva akichuana na beki wa Khartoum.
Mshambuliaji wa timu ya Yanga, Simon Msuva akitafuta mbinu za kumfunga kipa wa Khartoum ya Sudan, Mohamed Ibrahim katika mchezo wa Kombe la Kagame uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
 Simon Msuva akiwatoka wachezaji wa Khartoum ya Sudan.
Amisi Tambwe akimtoka beki wa Khartoum, Hamza Daoud.

No comments:

Post a Comment

Pages