HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 24, 2015

UZINDUZI WA KAMPENI ZA CCM KATIKA PICHA

 Sehemu ya umati wa maelfu ya watu waliohudhuria uzinduzi wa kampeni za CCM katika viwanja vya Jangwani. (Picha kwa hisani tovuti ya CCM)
 Maele ya watu wakiwa wamekusanyika katika viwanja vya Jangwani.
Waziri Mkuu mstaafu, Joseph Warioba akiingia katika viwanja vya Jangwani wakati wa uzinduzi wa kampeni za CCM.
 Umati wa watu ukiwakatika viwanja vya Jangwani wakati wa uzinduzi wa Kampeni za CCM.
 Moja kati ya mabasi yaliyobeba wanachama wa CCM likiwa katika viwanja vya Jangwani.
 Kada wa CCM, Mwigulu Nchemba akiteta jambo na Rais mstaafu wa wa awamu ta tatu, Benjamin Mkapa wakati wa uzinduzi wa kampeni za CCM kwenye viwanja wa Jangwani jijini Dar es Salaam.
Wanachama na mashabiki wa CCM wakiselebuka.

No comments:

Post a Comment

Pages