HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 04, 2016

MFUKO WA PENSHENI WA LAPF WATOA MSAADA WA MADAWATI 124 KWA SHULE YA MSINGI NAKASANGWE

Meneja Masoko na Mawasiliano wa  Mfuko wa Pensheni wa LAPF, James Mlowe akizungumza katika hafla ya kukabidhi madawati 124 yaliyotolewa na Mfuko wa Pensheni wa LAPF kwa Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi kwa ajili ya Shule ya Msingi, Nakasangwe iliyopo Kata ya Wazo jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)
 Meneja Masoko na Mawasiliano wa  mfuko wa pensheni wa LAPF, James Mlowe (kushoto), akimuonyesha Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni (kulia), mara baada ya mfuko huo kukabidhi madawati 124 kwa ajili ya Shule ya Msingi Nakasangwe iliyopo Kata ya Wazo. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam 
 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi (wa pili kushoto) akimshukuru Meneja Masoko na Mawasiliano wa mfuko wa pensheni wa LAPF, James Mlowe mara baada ya kupokea msaada wa madawati 124 kwa ajili ya Shule ya Msingi Nakasangwe iliyopo Kata ya Wazo. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana.  Kulia ni Ofisa Elimu Msingi Wilaya ya Kinondoni, Kiduma Mageni.  
 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi (kulia) akipokea msaada wa madawati 124 kutoka kwa Meneja Masoko na Mawasiliano wa mfuko wa pensheni wa LAPF, James Mlowe kwa ajili ya Shule ya Msingi Nakasangwe iliyopo Kata ya Wazo. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam. Katikati ni Ofisa Elimu Msingi  Wilaya ya Kinondoni, Kiduma Mageni. 
 Mkuu wa Wilayaya kinondoni, Ally Hapi akizungumza katika hafla ya kupokea madawati 124 yaliyotolewa na Mfuko wa Pensheni wa LAPF jijini Dar es Salaam.
 Wanafunzi wakiwa wamekaa katika madawati yaliyotolewa leo kama msaada na Mfuko wa Pensheni wa LAPF kwa Shule ya Msingi Nakasangwe.
 Kaimu Meneja wa Mfuko wa Pensheni wa  LAPF Kanda ya Dar es Salaam, Yesaya Mwakifulefule akizungumza katika hafla hiyo.
 Wanafunzi wakiwa wamekaa katika madawati yaliyotolewa na Mfuko wa Pensheni wa LAPF.
Meneja Masoko na Mawasiliano wa  Mfuko wa Pensheni wa LAPF, James Mlowe akimpongeza Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi kwa kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni.

No comments:

Post a Comment

Pages