HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 28, 2016

TAMWA kupambana na ajali za barabarani kuokoa vifo vya akinamama na watoto

Mgeni rasmi katika hafla ya TAMWA wakizinduwa mradi wa kampeni ya kupambana na ajali za vyombo vya moto barabarani, Kamanda wa Polisi wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohammed Mpinga akizungumza kabla ya kuzindua mradi huo. TAMWA wamezindua mradi huo ikiwa ni jitihada za kupunguza ajali hizo ambazo zimekuwa zikigharimu maisha ya wanawake, watoto pamoja na jamii nzima. Mgeni rasmi katika hafla ya TAMWA wakizinduwa mradi wa kampeni ya kupambana na ajali za vyombo vya moto barabarani, Kamanda wa Polisi wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohammed Mpinga akizungumza kabla ya kuzindua mradi huo. TAMWA wamezindua mradi huo ikiwa ni jitihada za kupunguza ajali hizo ambazo zimekuwa zikigharimu maisha ya wanawake, watoto pamoja na jamii nzima.Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Bi. Edda Sanga (kushoto) akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa mradi wa kampeni ya kupambana na ajali za vyombo vya moto barabarani ikiwa ni jitihada za kupunguza ajali hizo ambazo zimekuwa zikigharimu maisha ya wanawake, watoto pamoja na jamii nzima. Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Bi. Edda Sanga (kushoto) akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa mradi wa kampeni ya kupambana na ajali za vyombo vya moto barabarani ikiwa ni jitihada za kupunguza ajali hizo ambazo zimekuwa zikigharimu maisha ya wanawake, watoto pamoja na jamii nzima.Ofisa Miradi Mkuu, TAMWA, Bi. Gradness Munuo (kulia) akitambulisha mradi huo kwa washiriki wa hafla ya uzinduzi wa mradi wa kampeni ya kupambana na ajali za vyombo vya moto barabarani. Ofisa Miradi Mkuu, TAMWA, Bi. Gradness Munuo (kulia) akitambulisha mradi huo kwa washiriki wa hafla ya uzinduzi wa mradi wa kampeni ya kupambana na ajali za vyombo vya moto barabarani.Baadhi ya maofisa kutoka TAMWA wakifuatilia mijadala anuai katika hafla ya uzinduzi wa mradi wa kampeni ya kupambana na ajali za vyombo vya moto barabarani. Baadhi ya maofisa kutoka TAMWA (wa kwanza na wa pili kulia) wakifuatilia mijadala anuai pamoja na washiriki wengine katika hafla ya uzinduzi wa mradi wa kampeni ya kupambana na ajali za vyombo vya moto barabarani.Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Bi. Edda Sanga (kushoto) akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa mradi wa kampeni ya kupambana na ajali za vyombo vya moto barabarani ikiwa ni jitihada za kupunguza ajali hizo ambazo zimekuwa zikigharimu maisha ya wanawake, watoto pamoja na jamii nzima. Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Bi. Edda Sanga (kushoto) akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa mradi wa kampeni ya kupambana na ajali za vyombo vya moto barabarani ikiwa ni jitihada za kupunguza ajali hizo ambazo zimekuwa zikigharimu maisha ya wanawake, watoto pamoja na jamii nzima.Baadhi ya washiriki wa hafla ya TAMWA wakizinduwa mradi wa kampeni ya kupambana na ajali za vyombo vya moto barabarani wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa na wadau anuai. Baadhi ya washiriki wa hafla ya TAMWA wakizinduwa mradi wa kampeni ya kupambana na ajali za vyombo vya moto barabarani wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa na wadau anuai.Baadhi ya washiriki wa hafla ya TAMWA wakizinduwa mradi wa kampeni ya kupambana na ajali za vyombo vya moto barabarani wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa na wadau anuai. Baadhi ya washiriki wa hafla ya TAMWA wakizinduwa mradi wa kampeni ya kupambana na ajali za vyombo vya moto barabarani wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa na wadau anuai.Baadhi ya washiriki wa hafla ya TAMWA wakizinduwa mradi wa kampeni ya kupambana na ajali za vyombo vya moto barabarani wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa na wadau anuai. Baadhi ya washiriki wa hafla ya TAMWA wakizinduwa mradi wa kampeni ya kupambana na ajali za vyombo vya moto barabarani wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa na wadau anuai.

No comments:

Post a Comment

Pages