HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 31, 2016

WAZIRI MKUU AMJULIA HALI SPIKA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge , Job Ndugai  wakati alipokwenda nyumbani kwa Spika  jijini Dar es salaam kumsalimia  Julai 29, 2016. Mheshimiwa Spika amerejea nchini hivi karibuni akitoka India kwa matibabu. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama. (Picha na Ofisi ya Bunge)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge , Job Ndugai  wakati alipokwenda nyumbani kwa Spika  jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

Pages