HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

December 28, 2016

MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI MATATANI

 Mwimbaji wa nyimbo za Injili jijini Mbeya, Aman Mwasote (kulia), akiwa na wakili wake, Sambwee Shitamba anayemtetea katika kesi ya kutuhumiwa kumwita mchawi mtoto wa kike (9)  jina linahifadhiwa wakati akiwa kwenye mkutano wa  injili wakiwa nje ya Mahakama ya Wilaya Mbeya. (Picha na Kenneth Ngelesi)

No comments:

Post a Comment

Pages