Dande Contact

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU-MOBILE +255 713 623 958 / +255 784 623 958 EMAIL dande15us@gmail.com

Halotel


CRDB

CRDB
.

Pages

MAMIA WAMUAGA MWANDISHI WA UHURU, AMINA ATHUMAN

 Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislam wakiusalia mwili wa aliyekuwa mwandishi wa habari wa Kampuni ya Uhuru Publications, marehemu Amina Athumani nyumbani kwao Kipunguni A jijini Dar es Salaam jana, kabla ya kusafirishwa mkoani Tanga kwa mazishi yanayofanyika leo. (Picha na Francis Dande).

 Baadhi ya waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lililokuwa na mwili wa aliyekuwa mwandishi wa habari wa Kampuni ya Uhuru Publications kabala ya kusafiriswa mkoani Tanga kwa mazishi. 
Meneja wa rasilimali Watu wa Kampuni ya  Uhuru Publications akisoma salama za rambiorambi za kampuni hiyo. 
Mkwe wa marehemu.
Baadhi ya waombolezaji. 
 Waombolezaji wakiwa msibani. 
Mwili wa marehemu ukitolewa nyumbani kwao Kipunguni A. 
Ndugu Jamaa na marafiki wakiwa katika msibani Kipunguni A. 
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa msibani.
Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Alfred Lucas akizungumza na Mwandishi wa Habari wa Kampuni ya New habar 2006, Mwani Nyangasa. 
Gari aina ya Coster ambalo limebeba mwili wa marehemu Amina Athumani likisubiri kuanza safari ya kwenda Tanga.
Kutoka kushoto ni Asha Kigundula, Richard Mwaikenda, Francis Dande, Rahel Pallangyo, Somoe Ng'itu na Saada Salim (katikati).

Ofisa Uhusiano wa NMB, Doris Kilale (kushoto) akiwa na baadhi ya waombolezaji.
Basgir Nkoromo akiwa na Mwani Nyangasa.

No comments:

Post a Comment