HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

January 06, 2017

WAZIRI MKUU AIPONGEZA BIMA YA AFYA

  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimjulia hali Sophia Mgeni ambaye ametoka kujifungua mtoto wa kike Waziri mkuu alitembelea Zahanati ya Madaba iliyopo wilaya ya Songea ilikuweza kuwasikiliza wagonjwa katika zahanati hiyo Waziri mkuu yupo Mkoani Ruvuma kwa ziara ya kukagua shughuli za maendeleo  Picha na Chrs Mfinanga.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wauguzi wa zahanati ya Madaba amewataka waendele na moyo waliokuwa nao wakuwapenda wagonjwa na kuwahudimia kwani serekali inatambua mchango wao wanaoutoa kwa taifa 
Waziri Mkuu Mkuu Kassim  Majaliwa akiwahutubia wananchi wa madaba amabao waliojitokeza jitokeza kwawingi amabapo waziri mkuu alitumia nafasi hiyo yakuwaelezea juhudi za serekali za kuwasaidia wananchi katika sekta mbali mbali ikiwemo Huduma ya bima ya afya  Waziri mkuu yupo mkoani Ruvuma kwa ziara ya kikazi.

No comments:

Post a Comment

Pages