KWA MAWASILIANO ZAIDI. E-mail: dande15us@gmail.com.

NSSF-SHIB

.

.
.

.

.

Pages

RAIS AHUTUBIA WANANCHI WA MTWARA KATIKA VIWANJA VYA MASHUJAA MKOANI MTWARA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Mtwara katika siku ya mwisho wa ziara yake katika Viwanja vya Mashujaa mkoani Mtwara.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwaaga wananchi wa Mtwara mara baada ya kumaliza kuwahutubia katika viwanja vya Mashujaa mkoani Mtwara. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment