HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

March 26, 2017

RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA KATIBU MKUU WIZARA YA NISHATI NA MADINI


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Ikulu, Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Prof. Justin Ntalikwa kuanzia leo tarehe 26 Machi, 2017.
Nafasi ya Katibu Mkuu wa wizara hiyo itajazwa baadaye.


Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Dar es Salaam

26 Machi, 2017

No comments:

Post a Comment

Pages