Dande Contact

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU-MOBILE +255 713 623 958 / +255 784 623 958 EMAIL dande15us@gmail.com

Halotel


CRDB

CRDB
.

Pages

BULELMBO ACHANJA MBUGA NA KUMALIZA ZIARA YA MKOA WA KIGOMA KWA KUPIGA KAZI KATIKA WILAYA YA KAKONKO, LEO

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Alhaj Abdallah Bulembo akiondoa bendera kwenye jiwe la Msingi, kuzindua Shina namba sita la CCM la Kiyobela, Katika Kijiji cha Kabiko wilayani Kakonko mkoani Kigoma, leo.
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo 'akitroti' kidogo, wakati akitoka kukagua ujenzi wa Ofisi ya CCM Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma leo.
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akipandisha bendera kuzindua Shina la CCM Namba Sita, Tawi la Kakonko Msufini, Wilayani Kakonko mkoani Kigoma, leo. Kulia (aliyeketi) ni Mwenyekiti wa Shina hilo Ramadhan Adam ambaye ana ulemavu wa miguu.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania Alhaj Abdallah Bulembo akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Kakonko, Mabalozi, Viongozi na watendaji wa CCM, Watendaji wa Serikali na Viongozi mbalimbali wa CCM na Jumuia zake, kikao hicho cha ndani. PICHA: BASHIR

No comments:

Post a Comment