HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 21, 2017

TEF YALAANI KUFUNGIWA KWA GAZETI LA MAWIO

 Katibu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Neville Meena, akizungumza kufungiwa kwa gazeti la Mawio jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mjumbe wa Bodi ya TEF, Jesse Kwayu na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Theophil Makunga

Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Theophil Makunga, akitoa tamko la kulaani kufungiwa wa gazeti la Mawio jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mjumbe wa Bodi ya TEF, Jesse Kwayu. (Picha na Francis Dande).

No comments:

Post a Comment

Pages