Dande Contact

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU-MOBILE +255 713 623 958 / +255 784 623 958 EMAIL dande15us@gmail.com

Halotel


CRDB

CRDB
.

Pages

YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 42, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk.Tulia Ackson akiongoza kikao cha 42 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 06,42 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 6, 2017.  Picha zote na Daudi Manongi, MAELEZO.
 Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira Mhe.Anthony Mavunde akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 42 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 6, 2017.
 Waziri wa Nchi Ofisi Ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Ajira na Watu wenye ulemavu Mhe. Jenista Mhagama  akitolea ufafanuzi hoja mbalimbali za wabunge.
 Waziri wa Habari,Utamaduni ,Sanaa na Michezo Mhe.Harrison Mwakyembe  akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 42 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 6, 2017.
 Wanafunzi wa Shule ya Msingi Southern Highland kutoka Iringa wakiwa Bungeni kujifunza Shughuli mbalimbali katika kikao cha 42 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 6, 2017.Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Mwigulu Nchemba  akizungumza jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira  Mhe. January Makamba.


No comments:

Post a Comment