HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 07, 2017

YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 43, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO

Mbunge wa Tarime Mjini (CHADEMA) Mhe.Esther Matiko akiuliza swali katika kikao cha 43 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 7, 2017.
 Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Najma Giga akiongoza kikao cha 43 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 07, 2017.
 Pix 6 Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Mwigulu Nchemba akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira Mhe. Anthony Mavunde.

Picha zote na Daudi Manongi,MAELEZO,DODOMA.

No comments:

Post a Comment

Pages