Dande Contact

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU-MOBILE +255 713 623 958 / +255 784 623 958 EMAIL dande15us@gmail.com

Halotel


CRDB

CRDB
.

Pages

MWENYEKITI BODI YA WADHAMINI LAPF ATEMBELEA MAONYESHO YA SABASABA

 Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF (LAPF), Prof. FAUSTINE BEE akiwa katika picha ya pamoja na Maofisa wa Mfuko wa Pesheni wa LAPF huku akiwa ameshika tuzo waliyoshinda katika Maonyesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba), baada ya kuwa washindi wa kwanza katika kundi la Sekta ya Bima na Hifadhi ya Jamii  alipotembelea leo banda la LAPF katika viwanja vya sabasaba jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF, Prof. Faustine Bee, akiwa na Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, James Mlowe, alipotembelea leo Maonyesho ya Sabasaba.
Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF, Prof. Faustine Bee, akipeana mkono na Meneja Masoko na Mawasiliano wa LAPF, James Mlowe (kulia), alipotembelea Maonyesho ya Sabasaba leo.
Mtumishi wa LAPF, Philbert Francis (kushoto),  akimkabidhi zawadi mmoja wa wanachama wa  LAPF alietembelea banda hilo.

No comments:

Post a Comment