HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 04, 2017

Samaki wa Kilo 400 avuliwa Lindi



Baadhi ya wakazi wa Mji wa Lindi wakimvuta samaki aliyepewa jina la Mora anayekadiliwa kuwa na uzito wa kilo zaidi ya 400 akitolewa kutoka ndani ya maji baada ya kuvuliwa jana usiku na meli ndogo ya Mv Lemon. (Picha na Said Hauni, Lindi).
Samaki aina ya Mora akiwa kwenye fukwe ya bahari ya hindi baada ya kuvuliwa jana usiku na meli ndogo ya Mv Lemon mjini Lindi. 

No comments:

Post a Comment

Pages