HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 28, 2020

Kongamano maalum la wajibu wa Vijana katika uchaguzi laandaliwa

NA JANETH JOVIN

Idara ya Vijana wa Vyuo Vikuu Zanzibar wakishirikiana na Jumuiya ya Kijani Kibichi wataandaa Kongamano maalum litakalozungumzia wajibu wa vijana katika uchaguzi.

Kongamano hilo linatarajia kufanyika Septemba Mosi mwaka huu katika Ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein Zanzibar saa tisa alasiri.

Imeelezwa kuwa katika kongamano hilo wageni mbalimbali watakuwepo na kusisitiza kuwa Kwa  Umoja Kazi Inaendelea.


Kwa Umoja Kazi Inaendelea

1 comment:

Pages