HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

March 09, 2013

RAIS KIKWETE AMJULIA HALI MHARIRI MTENDAJI WA HABARI CORPORATION, ABSALOM KIBANDA

 Rais Jakaya kikswete akimjulia hali Mswenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) ambeye pia ni Mhariri Mtendaji wa Habari Corporation Ltd, Absalom Kibanda alipomtembelea katika hospitali ya Mill Park iliyopo Johannesburg, Afrika ya Kusini  baada ya kujeruhiwa vibaya na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia Machi 4 huko nyumbani kwake Mbezi Beach jijini Dar es Salaam. Rais Kikwete yupo  nchini Afrika Kusini kuhudhuria mkutano wa vyama vilivyo mstari wa mbele katika Harakati za ukombozi kusini mwa Afrika.

No comments:

Post a Comment

Pages