Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Waziri Mkuu wa Denmark Mhe. Hell Thorning-Shmidt katika dhifa ya kitaifa aliyomwandalia Ikulu jana usiku
Waziri Mkuu wa Denmark Mhe. Hell Thorning-Shmidt akiongea wakati wa dhifa ya kitaifa aliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jana usiku
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akigonganasha glasi ya kutakiana afya njema na Waziri Mkuu wa Denmark Mhe. Hell Thorning-Shmidt katika dhifa ya kitaifa aliyomwandalia Ikulu jana usiku.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa zawadi ya kinyago cha 'Shetani, Waziri Mkuu wa Denmark Mhe. Hell Thorning-Shmidt wakati wa dhifa ya kitaifa aliyomwandalia Ikulu jana usiku
Waziri Mkuu wa Denmark Mhe. Hell Thorning-Shmidt akifurahia zawadi ya kinyago cha 'Shetani' alichopewa na mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete jana usiku Ikulu.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri Mkuu wa Denmark Mhe. Hell Thorning-Shmidt wakiangalia ngoma za utamaduni za kundi la JKT katika dhifa ya kitaifa aliyomwandalia Ikulu jana usiku. PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment