Meneja Mauzo wa Airtel Zanzibar , Brighton Majwala (kushoto) akikabidhi sehemu ya vitabu vya sekondari vya masomo ya sayansi kwa Ofisa Elimu Mkoa wa Mjini Magharibi, Hatibu Tabia Muhsin vilivyotolewa kama msaada na Airtel kwa ajili ya shule 6 za Sekondari Unguja na Pemba zikiwemo Fujoni, Mahonda, Kidongo chekundu, Pemba, Wesha na Dodean. Anayepokea kwa niaba ya walimu wa shule nyingine (mwenye t-shirt nyekundu) ni Mkuu wa skuli ya Kidongo chekundu - Juma Ramadhani, Vitabu vyote vinathamani ya shilingi milioni 18 Tshs.
Meneja Mauzo wa Airtel Zanzibar, Brighton Majwala akikabidhi sehemu ya vitabu vya sekondari vya masomo ya sayansi kwa Ofisa Elimu mkoa wa Mjini Magharibi - Hatibu Tabia Muhsin ikiwa ni msaada uliotolewa na Airtel kwaajili ya shule 6 za sekondari Unguja na pemba ambazo ni Fujoni, Mahonda, Kidongo chekundu, Pemba., Wesha na Dodean. Vitabu vyote vinathamani ya shilingi milioni 18 Tshs.
Meneja Mauzo wa Airtel Zanzibar, Brighton Majwala akipitia kitabu cha sayansi na wanafunzi wa skuli ya kidongo chekundu Zanzibar mara baada ya hafla ya makabidhiano ya vitabu vya sekondari kwa masomo ya sayansi ikiwa ni msaada uliotolewa na kampuni ya simu ya Airtel kwa ajili ya shule 6 za sekondari Unguja na pemba ambazo ni Fujoni, Mahonda, Kidongo chekundu, Pemba, Wesha na Dodean. Vitabu vyote vinathamani ya shilingi milioni 18 Tshs.
kweli manager kampuni ya aitel wamelenga pazuri sana na waendelee
ReplyDelete