HABARI MSETO (HEADER)

Breaking

September 01, 2013

CHEKA AMTWANGA BONDIA KUTOKA MAREKANI, ATWAA MKANDA WA WBF

 Bondia, Phil Williams kutoka Marekani akirusha konde kwa mpinzani wake, Francis Cheka wakati wa pambano la mkanda wa WBF.
Cheka akiendelea kumpa kichapo, Phil
 Mvua ya mawe ikianza kumnyeshea bondia Phil Williams
 Cheka akiendelea kumpa kichapo, Phil Williams
 Bondia Phil Williams kutoka Marekani akienda chini, baada ya kupigwa konde zito na bondia Francis Cheka, katika raundi ya 4 ya pambano la kuwania mkanda wa Dunia wa WBU lililofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam, usiku wa kuamkia jana. Cheka alishinda kwa pointi.  

 Phil akijihami na makonde ya Francis Cheka.
 Chukua hiyo....
 Phil akienda chini.
 Cheka akiendelea kumpa kichapo Phil katika raundi ya 4 ya pambano hilo.
 Phil akiwa amezidiwa baada ya kupigwa ngumi nzito na Cheka. 
Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara akivisha mkanda wa ubingwa wa WBF, bondia Francis Cheka baada ya kumpiga kwa pointi bondia, Phil Williams kutoka Marekani katika pambano la ubingwa wa Dunia lililofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. 
Furaha ya ushindi.

No comments:

Post a Comment

Pages