Evodius Mtawala, Aden Rage, Mohammed Bhinda na Mwalusako wakishindana kuvuta kamba. Katikati ni Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe na Mkurugenzi wa Masoko wa TBL, Kushila Thomas. (Picha na Francis Dande)
Mashabiki wa Yanga na Simba wakisakata muziki wa dansi wakati wa uzinduzi wa promosheni ya Nani Mtani Jembe inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro jijini Dar es Salaam.
Mwenyeikiti wa Simba, Ismail Aden Rage akiteta jambo na
aliyekuwa Katibu Mkuu wa Yanga, Lawrence Mwalusako wakati
wa uzinduzi wa tamasha
la Nani Mtani Jembe linaloshirikisha mashabiki wa Simba na Yanga na kudhamiwa
na TBL.
Viongozi wa Yanga na Simba wakicheza fussball wakati
wa uzinduzi wa promosheni ya Nani Mtani Jembe inayodhaminiwa na bia ya
Kilimanjaro jijini Dar es Salaam.



No comments:
Post a Comment